Napataje screenshot kwenye techno h6?

Napataje screenshot kwenye techno h6?

Sijawah Tumia Hizo Brand, Ila Simu Nyingi Screenshoot Ukitaka Unabonyeza Pa Kuzimia Simu Na Pakupunguzia Sauti Unabonyeza Kwa Wakat Mmoja Bila Kuachia Kwa Kma Sekunde 3 Utaona Imetoa Screenshoot Ndio Unaachia Ikigoma Nenda Playstore Search App Ya Screenshoot Downlod.
 
Me pia nina tatizo la kutopata screenshot. Msaada jinsi ya kupata screenshot kwenye lenovo TAB A7-30.

Njia nilizo kuwa na tumia kwenye Samsung na ambazo wengine wasimu zingine hutumia hapa kwangu zime goma.
 
H6 unapress buton ya kushusha volume +button ya kuwashia cm + home button unazibonyeza kwa mara moja
 
kitufe cha kushushia saut+power on/off
button kwa pamoja
 
Back
Top Bottom