Auto installation ya apps kwenye android

Auto installation ya apps kwenye android

mchushi

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
216
Reaction score
98
Wakuu msaada wenu nauomba....ninatumia Huawei y330 na tab ya galaxy na kumekuwa na shida hii ya apps ambazo sijazidownload kuji install .....bila mwenyewe kujua na hats nikizi uninstall zinajirudisha zenyewe pia....tatizo hili limeenda sambamba na CM security kuniambia kuwa built in apps kama Monkey test na Time service ni Trojans so nizitoe ...nikizitoa then nikacheck running apps nazikuta tens nisaidieni kuondoa haya matatizo niifurahie simu yangu vinginevyo nahama android.Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom