Msaada kuunganisha Internet ya tigo kwenye windows 8 tablet

achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
380
225
Nijitaka ku connect naambiwa nijaze:
1.Access Point Name (APN)
2.Username
3.Password
4. Ni select authentication type (none, PAP, CHAP, MS-CHAP v2)

Nimewapigia tigo wamenipa APN: tigoweb, Account name: tigointernet,
Nimejaribu zimekataa, nimeshajiunga na bando tayari kwa simu. Nahitaji msaada wenu hapo kwa anayejua au aliyewahi kujiunga internet ya tigo kwenye windows 8 tablet.

.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,461
2,000
Tablet ya windows ni kama pc tu, maumbo ndio tofaut.

Kama inakataa njia ya juu tengeneza dial up connection namba eka *99# then dial, itafanya kazi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom