msaada juu ya ufanisi wa separate meters

msaada juu ya ufanisi wa separate meters

nxon

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,162
Reaction score
408
habari wakuu! naomba kuuliza juu ya ufanisi wa hizi separate meters za umeme kwa kila chumba. kuna mpangaji mwenzetu anawasha fridge kila siku lakini units zinasoma chache sana. naomba mwongozo wenu wakuu jinsi ya ufanisi wake.
 
Sijawahi ziona hizo mita, i guess kutakuwa na main mita na hizo mita ndogo za kila chumba.

Inamaana sum ya mita ndogo zote itakuwa ni sawa/equivalent na main mita.

Mfano kuna vyumba 5 na mmenunua unit 100, inamaana ukijumlisha idadi ya matumizi ya unit ya mita zote tano itabidi jibu lije 100 au karibu ya hapo, kama litakuja jibu tofauti sana ya hapo kutakuwa hakuna ufanisi
 
habari wakuu! naomba kuuliza juu ya ufanisi wa hizi separate meters za umeme kwa kila chumba. kuna mpangaji mwenzetu anawasha fridge kila siku lakini units zinasoma chache sana. naomba mwongozo wenu wakuu jinsi ya ufanisi wake.

Kukusaidia leta data za wattage za hilo fridge, analiwasha kwa masaa mangapi, na hiyo separate meter inasoma unit ngapi kwa siku.

Tofauti na hapo tutakuwa tunakisia. Ila kwa msaada wa haraka kama case ya hapo juu ipo sahihi, then kuna uwezekano amebypass hizo mita ndogo
 
Back
Top Bottom