Salih
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 687
- 504
Habari ya mihangaiko Wakuu..? Naomba mwenye utaalamu wa kuondoa matangazo na apps kuji-download zenyewe kwenye simu Huawei p6...maana matangazo yanakuja mfululizo na apps kama OmnSwipe, Battery Doctor na vitu vingine nisivyovielewa kama Monkey Test, Time Service na mengineyo, yaani simu ipo bored kiujumla kwa sasa na nilijaribu kuweka Antivirus tofauti lkn zinazuia kwa muda tena zina-report kama virus lkn baadae vinarudi tena kwa fujo.