Habar wadau naomben in msaada.nmekuwa na tatizo kwenye pc yangu (acer i3, 4ram,500 hdd, win 8.1 64bit) baadhi ya mafile ya zaman ya local disk d: hayafunguki.picture.. video.. doc na vingine ila vinafunguka nkivicopy kwenye partition nyngne (ofcz ni c: mana nna partition mbili tu).
mwenye kujua soln naombeni msaada nmejaribu kugoogle bila mafanikio.
mwenye kujua soln naombeni msaada nmejaribu kugoogle bila mafanikio.