Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,270
- 1,111
Habarini za usiku huu! Guys nimekuja hapa nina shida moja juu ya PC tajwa hapo juu.
Leo niliweka Kaspesky internet Security na nikaiupdate vizuuri kabisa.
Baada ya kumaliza nikaanza kuifanyia full scan PC, then ikaniletea message kuwa kuna Adware ipo kwenye Local Disc C, nikacommand option ya eliminate.
Sasa kilichotokea ni kuwa pc haimalizi command, let say unafungua folder, ukilifungua linafunguka but kama ni music haicommand kuplay wala kudouble click au right click japo options zote ziko sawa.
Kubwa kuliko nikataka kuirestart hakuna option hiyo ipo ya kuswitch user na kulock PC.
Nimejaribu kufungua Kaspersky naambiwa kuwa path haipo au sina permissions za kutosha kukamilisha operation husika...
Nimejaribu kufanya Ctrl+Alt+Del hapo option ya switch off inakuja ila nikicommand haitaki kurespond! Na baada ya hapo PC imefuta icons zote, so imegoma kuzima na sitaki kuizima manually maana hofu yangu ni inaeza ikagoma kabisa kuwaka ndio maana nimeiacha.
Please guys naombeni msada wenu juu ya hili.
Cc; chiefmkwawa, YoungMaster na wengine nyote mwakaribishwa, yaani hapa am stuck maana disertation yangu ipo mle.
Natanguliza shukurani.

Last edited by a moderator: