mbongombishi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 593
- 310
Habari wakuu na wadau wa Jukwaa hili.
Natafuta simu aina ya HTC HD2 (Windows Phone) ambayo ni mbovu.
Tafadhali kwa aliyenayo,au anayejua wapi naweza kuipata naomba tuwasiliane.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.