habari wadau, kuna kampuni moja inaitwa si -electron ambayo inahusika na uuzaji wa computer used. malipo ya bidhaa zao wanafanya through western union na mzigo unakufikia kupitia DHL au Fedex mahala ulipo. naomba kufaham kama kuna mtu mwenye experience na kununua bidhaa kutoka kwenye kamouni hii ioli tuweze ku share what is good for all of us regards