Jinsi ya kuflash vodafone zte k3570 pamoja na software bureee


J

jozzb

Member
Joined
Jun 30, 2011
Messages
87
Likes
0
Points
13
J

jozzb

Member
Joined Jun 30, 2011
87 0 13

NAAMINI NI WENGI MLIFURAHIA ILE MAADA YA MWANZO YA KUFLASH HUAWEI E153.WALIONIPA EMAIL ZA UKWELI,NILIWASAIDIA KUWATUMIA... KAMA HUJAPATA,BASI TUENDELEE KUWASILIANA.


ZIFUATAZO NI HATUA ZA MSINGI ZA KUIFANYA MODEM YA ZTE K3570 ITUMIE LINE ZOTE.
1.HAPO CHINI NIMEWEKA HIYO SOFTWARE.UTAI DOWNLOAD

<<BONYEZA HAPA UKAI DOWNLOAD>>

 
Candid Scope

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
11,889
Likes
146
Points
160
Candid Scope

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
11,889 146 160
Angalisho: Kuweni makini sana na njia hizi za software, hatari yake ni kwamba utakuja shtukia informationzako zimeibwa na mtu usiye mjua na pengine account yako kutumiwa na mtu usiyemjua.
 
J

jozzb

Member
Joined
Jun 30, 2011
Messages
87
Likes
0
Points
13
J

jozzb

Member
Joined Jun 30, 2011
87 0 13
angalisho: Kuweni makini sana na njia hizi za software, hatari yake ni kwamba utakuja shtukia informationzako zimeibwa na mtu usiye mjua na pengine account yako kutumiwa na mtu usiyemjua.
nakushauri usitoe information za ukweli
 
S

sixmund6

Senior Member
Joined
Oct 11, 2011
Messages
102
Likes
0
Points
33
S

sixmund6

Senior Member
Joined Oct 11, 2011
102 0 33
ulishaibiwa mwenzangu?? Hebu tuwekewazi tuwemakini wenzako!
 
allan248

allan248

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
817
Likes
357
Points
80
allan248

allan248

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
817 357 80
duh mtaalamu kwangu inazngua sana kunipeleka kwenye softwae nisaidie hapo
 

Forum statistics

Threads 1,262,120
Members 485,449
Posts 30,113,589