Ushauri juu ya Lumia 730

Ushauri juu ya Lumia 730

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,270
Reaction score
1,111
Habari ndugu wanajamvi. Nimekuja hapa nina shida moja. Mie nilianza kutumia smarthphones za Android kwa muda sasa but mwaka hana nilinunua Huawei W1 (Windows phone).
Kwa kweli niliifurahia sana performancd na experience ya windows kiasi ambacho binafsi sioni sababu ya kurudi Android.
But lately nimekuja kugundua kuwa hii Huawei hawana Update kwenda Windows 8.1 and there wont be any.
So katika kufikiria kuhamia simu ingine yenye updates naona Lumia 730 ipo kwenye budget range yangu.
Ila pamoja na hivyo naomba views na experience zenu juu ya hii simu kwenye aspects zote kama camera, ukaaji na chaji na mengineo.
Natanguliza Shukurani.
CC: CHIEF MKWAWA
 
Last edited by a moderator:
Kwa issue ya camera series za 7xx za lumia huwa na camera nzuri na simu hii pia ina camera nzuri ya mbele ambayo ilicompete hadi na note 4 mwaka jana japo lumia 730 ni budget phone.

Kuhusu battery hii simu ni average japo ni kubwa kuliko W1 ila pia huwezi iweka kwenye kundi la simu zonazokaa sana na chaji, uzuri wa simu za wp ni kwamba hazina background task nyingi hivyo hata ukieka mambo mengi ukaaji chaji hauathiriki sana.

Mambo mengine ni kwamba haina button za chini ina on screen keys hivyo uangalie kama halitakukera.

Ushauri, kama unataka simu itakayopata windows 10 why ununue sasa hv? Subiria mwezi wa 10 microsoft atazindua simu nyingi huwezi jua pengine lumia 740 au simu nyengine yoyote ya budget yako inaweza zinduliwa ikiwa na win 10 pre installed
 
ahsante sana Chief! Always appreciating your contributions. Kwani simi hii haipokei updates kwenda W10?
 
Inapokea kaka ila kuna feature moja inatwa continuum simu zote za sasa haziwezi kuitumia mpaka simu zitakazotoka na win 10.

Ila pia hakuna uhakika kama budget phone zitapata ila simu za highend for sure zitapata.

Feature hii ukichomeka simu na monitor(nahisi hadi tv itakubali) simu yako inageuka kama desktop na utaweza fanya mambo mengi ya full windows na ku enjoy universal apps.

Pia sio mbaya kununua lumia 730 kwa sasa then ukaenjoy kama miezi 6 ukauza na kununua simu ya windows 10
 
CHIEF MKWAWA unaiongeleaje Lumia 535?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom