samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,269
Wakuu habari zenu.nina kingamuzi cha digitek tatizo ni baadhi ya chaneli mwanzoni zilikua zinaonyesha Ila kwa sasa hazionyeshi ie mlimani TV , clouds TV na tatizo kubwa linalosumbua kwa sasa chanel 10 sauti inasikika ya magic fm badala ya sauti halisi ya tv, nasolve vp tatizo hili
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani