Airtel mmeamua kutuua Watanzani Tunasubiria Vietel sasa

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,536
2,187
Kama maigizo sasa maana watanzania tunazidi kuumizwa na hii mitandao, sasa airtel wamepandisha vifurushi vyao vya internet, kiukweli wameniumiza hawa jamaa.

Mimi nilizoea kununua cha wiki cha 1GB kwa elfu 2000, ila kuanzia jana wamekipandisha mpaka 1GB kwa elfu 3000.

Kiukweli tunaomba hao VEiTEL waanze tu nasi tuwakate hawa airtel.

Maana nasikia hawa vietel unawapa line ya simu na wao wanakupa simu bure ya kisasa na line mpya yenye salio.

Nakusubiri kwa hamu veitel maana tumechoka kunyonywa uku TCRA wamekaa kimya tu! Hawawezi hata kukontroo bei ya hawa matapeli?
 
Hakuna anaeitangaza veitel hapa, kwani wewe huu uhuni tunaofanyiwa ba airtel wewe unaupenda?

Yaani nimeshindwa kukuelewa Na mawazo yako mgando

Sasa mbona unaona Viettel ndio mbadala kwani wameshaanza kufanya kazi ukaona gharama zake
 
Vodacom & airtel tumewachoka nyinyi ni janga la tano la taifa.
Mshindwe na mlegee kwa jina la yesu.
 
Mkuu! kiwango cha ufisadi hapa ni kikubwa na mbaya zaidi ni siasa kila mahali hata ktk masuala yanayohitaji utaalamu. Wakija hao unaowasema watafuata reli. Tutaliwa tu!
 
Mkuu kuna ndugu yangu yuko Msumbiji, alinipigia simu wiki illiyopita utadhani naongea na mtu yupo chumba cha pili!

mkuuuu ilikuaje.?? hebu yamwage hayoo.... u mean mliongea kwa masaa kadhaa..,, mliongea kama mwangwi....
 
Hakuna anaeitangaza veitel hapa, kwani wewe huu uhuni tunaofanyiwa ba airtel wewe unaupenda?

Yaani nimeshindwa kukuelewa Na mawazo yako mgando

Mitandao ya simu now imekuwa kero sana. Shida ni hawa serikali dhaifu ya ccm ndio wanapaswa kulaumiwa.
 
mkuuuu ilikuaje.?? hebu yamwage hayoo.... u mean mliongea kwa masaa kadhaa..,, mliongea kama mwangwi....
Nimeeleza kuwa nimeongea kama na mtu yupo chumba cha pili. Nimeongea masaa mangapi, ilikuaje wewe itakusaidia au kuhusu nini?
 
Mkuu! kiwango cha ufisadi hapa ni kikubwa na mbaya zaidi ni siasa kila mahali hata ktk masuala yanayohitaji utaalamu. Wakija hao unaowasema watafuata reli. Tutaliwa tu!

Tubomoe hiyo reli mkuu...October. Halafu mleta hoja Ta Kamugisha ni mnazi wa chama twawala, nina imani atakuwa ameelewa sasa!
 
Last edited by a moderator:
zantel yangu haijawahi kusoma 3G mkuu... nimeiweka kwwnye wallet now... na kama ningekuwa na kaaa mabonde kuinama sijui ingekuaje...

inasoma 3g ila kweli wakati mwingine inasumbua ila kwa kuperuzi peruzi iko poa.
 
Back
Top Bottom