Habari zenu wadau.
Naomba kueleweshwa namna ya kufuta (delete) text msgs nilizoandika whatsapp
kwa kutumia smartphone yangu. Nimeitafuta sana hiyo option ya delete
bila...
Laptop yangu inanisumbua kidogo na nimeshindwa kupata suluhisho mpaka sasa naombeni msaada wenu Wataalamu wa Technology, Gadgets & Science (kama nitakvyoeleza hapo chini na kauambatanisha picha)...
Naomba msaada wa mawazo kwa anayejua ufumbuzi wa tatizo langu ni kwamba nilifanya factory reset ya sim yangu ila cha kushangaza memory card imejiwekea password
Naomba ushauri kwa anayejua
Natanguliza Heshima kwenu.
Matumai mu-wazima kabisa na mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa letu.
Naomba mnisaidie sites ntakazoweza ku-download series direct sio torrent wakuu kwa kutumia...
Habari wandugu. Jamani nimeanzisha stationery na studio ya picha. sasa naombeni msaada zaidi kuhusu mashine nzuri ya kusafishia picha za ukubwa hadi A4 pamoja na passport. Je ni aina gani nzuri...
Wananzengo nimebadili simu from samsung android to iphone ios, sasa phonebook niliisave katika email, sasa nawezaje kuingiza ile email ili kupata yale majina?
Ndugu wana JF naombeni msaada wenu, laptop yangu aina ya hp Elitebook 2530p haionyeshi kitu chochote kwenye screen baada ya kuwaka.
Inaanza kuwaka vizuri inaleta logo ya window 8 halafu...
Wakuu habari,
Naomba kujuzwa kwa kiwanda cha nafaka chenye mota 2, moja 40hp na nyingine 50hp nahitaji kununua generator lenye ukubwa wa kva ngapi? Kindly recommend the best seller in Tanzania...
Ni nokia lumia 620 memory card free space 3gb nzima ila phone memory imejaa vitu ambavyo sivijui ni nini vimeandikwa others kwenye memory settings.
Msaada wadau
Baada ya kuadimika kwa bidhaa hii maarufu,sasa ipo sokoni.kama mjuavyo sasa ukiwa na rcv hii utaweza kutazama chanel mbalimbali nzuri zilizofungwa kwa mfumo wa power vu.
Pm haraka...
Thunderstruck!
Where did the Australian rock band AC/DC get their name from? Why, Alternating Current and Direct Current, of course! Both AC and DC describe types of current flow in a circuit...
Wanajamvi naomba nianze kwa kuwasalimu.
Kalaptop kangu HP window 7, hakakubali kupokea wireless internet ya ofisi hadi nichomeke cable. Hata WiFi hotspot sasa hivi haisomi ktk hii laptop. Tatizo...
Habari wadau wa tech forum naomba maelezo ya namna ya kufunga change over switch via contactor ya three phase nina vyazo viwili tanesco na genset na viunga vipi ktk contact ili iwe ina jiturn on...
Hi wana jf naomba msaada wenu tafadhari
Niko na simu yangu nokia lumia 800 lakini kila nikitaka kujiunga vifurushi inaniandikia "Session Terminated" msaada jinsi ya kuondoa tatizo.
Nina iphone5 nyingi nimenunua but zina hitaji apple id and password iliyo tumika kwenye kila simu. So nilikuwa nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza crack Apple ID kwenye Iphone (IOS7)