GTA
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 878
- 653
Habari za asubuhi wadau,
Husika na kichwa tajwa hapo juu, nimejaribu ku unlock hiyo modem lakini sijafanikiwa, nime generate unlocking code and flashing code kupitia huawei code calculator lakini bado, pia nime tumia dc-unlocker inakubali kusoma kila kitu bt problem creditors. pia nime update firmware lakini bado. naomba msaada wa any software ya kunlock ambayo itafanikisha kuichakachua hii kitu.
model:E303s-1
IMEI:864567015747390
UNLOCK CODE: 47743535
FLASHCODE: 37931399
Natanguliza shukurani za dhati