Ushauri jaman:

Ushauri jaman:

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,152
Reaction score
1,855
hv ni ant-virus gan nzur zaid kwenye sim za android?
 
tatizo ant virus kwenye android ni just app kama app nyengine haipewi nguvu ya kuziondolea apps nyengine permission au kujua app inafanya nini chini kwa chini. mfano unakuta ant virus yenyewe haina hata acess na system files wakati malware yupo system files, huyo malware ataichezea ant virus kadri atakavyotaka. hivyo ni vyema tu ukabadili tabia yako mwenyewe mtumiaji na kuachana na idea ya ant virus.
 
asante chief! sasa mitawezaje kuepuka hao malware wasiingie kwenye cm yangu? maana naona wanaisumbua xn cm yangu
 
asante chief! sasa mitawezaje kuepuka hao malware wasiingie kwenye cm yangu? maana naona wanaisumbua xn cm yangu

usidownload kitu nje ya playstore na usiroot simu unless una hitaji muhimu. na kama unataka kitu nje ya playstore kidownload kwenye official website ya hicho kitu.

kuwa makini na matangazo ya kwenye internet, usiclick tangazo lolote hasa yale ambayo yanaandika vitu vya ajabu ajabu kama simu yako ina virus click here to scan, na ukiona tangazo limesababisha udownload kitu kicancel na usi install.
 
Back
Top Bottom