Kwa wataalamu wa madini tukutane hapa.......

Kwa wataalamu wa madini tukutane hapa.......

lionhard

Senior Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
194
Reaction score
43
Habari wana JF, nimekutana na haya madini ila sijui ni aina gani ya madini. Wengine wanasema ni shaba not sure.,
Vipi thamani yake???
Naomba mwenye uelewa nayo tafadhali.
.........nawasilisha......
 

Attachments

  • 1443784871140.jpg
    1443784871140.jpg
    38.4 KB · Views: 151
Which copper mkuu na thamani yake ipoje??
 
hiyo ni Copper ore!!

kuna madini ya Copper kwenye hayo mawe...kiwango cha hiyo copper kinategemea na Laboratory analysis...inaweza kuwa in terms of x% kwenye kila tonne moja..

hivyo usichanganyikiwe sana!!

kwa Tanzania mpaka sasa hivi hatujawa na technologia ya kutuwezesha ku-Extrack copper kutoka kwenye mawe, tunachokifanya ni kuchimba na kusafirisha nje ya nchi...

haya huwa yanauzwa kwa tonnage!!, ni biashara nzuri...kwa sababu kila baada ya kuchimba, unakusanya na wanunuzi wanakuja site, mnakubaliana in terms of Tonnage..

wanunuzi wengi ni Wachina

nitumie mawasiliano yako, tufanye mazungumzo zaidi
 
Habari wana JF, nimekutana na haya madini ila sijui ni aina gani ya madini. Wengine wanasema ni shaba not sure.,
Vipi thamani yake???
Naomba mwenye uelewa nayo tafadhali.
.........nawasilisha......

Hayo ni mawe tu usichanganyikiwe na rangi
 
Najua ni mawe ila yana mineral contents!
So don't worry about that.
 
Back
Top Bottom