waungwana habari zenu pia poleni kwa shughuli,msaada wenu tafadhali naomba kupatiwa na kusaidiwa vyanzo vya kupata application nyingine ukitoa hii ya playstore,
mfano Mimi Nina
mobo market,
blackmart basi
hivyo basi naomba mnipatie market nyingine.
asante kwa msaada wenu nawasilisha
mfano Mimi Nina
mobo market,
blackmart basi
hivyo basi naomba mnipatie market nyingine.
asante kwa msaada wenu nawasilisha