Nina laki 5 natafuta simu inayotunza chaji muda mrefu

Nina laki 5 natafuta simu inayotunza chaji muda mrefu

golota

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
538
Reaction score
157
Nina laki 5 sasa nataka simu inayotunza chaji walau kwa muda mrefu iwe na 4G pia maana tunakoelekea 4g ndo itakuwa inapeta. Ila pia sipendi masimu makubwa kama note 2
 
used xperia kama z2 labda ndio utapata ndani ya hio budget ikiwa na 4g na battery life nzuri. kama unataka mpya moto e pia si mbaya sema zitabaki hela nyingi.
 
used xperia kama z2 labda ndio utapata ndani ya hio budget ikiwa na 4g na battery life nzuri. kama unataka mpya moto e pia si mbaya sema zitabaki hela nyingi.

ansante. vipi nikipata z1itanifaa?
 
unazungumzia onscreen time? zipo simu zinapitisha zaidi ya masaa 8 kama galaxy s6 active.

Labda u-save power mode tofauti na hapo hamna....hiyo galaxy s6 angalis na bei yake jinsi inavyounzwa ina haki ya kufikisha hayo masaaa.
 
wakati naomba ushauri niliwaza mbali mdogo wangu anayo huawei mate 7 inakaa na chaji sio chini ya masaa 11 bila kuchaji hata km unatumia muda wote km huamini muulize mtu mwenye hiyo simu. hata note 2 najua inajitahidi kutunza chaji ila siipendi sababu ya ukubwa wake(umbo lake). maneno ya kusema smartphone hazikai na chaji uongo zipo zinazokaa na chaji
 
Zipo zinazikaa na chaji si zote sawa. Hata laptop zipo zinazotunza chaji na zingine hazitunzi
 
Labda u-save power mode tofauti na hapo hamna....hiyo galaxy s6 angalis na bei yake jinsi inavyounzwa ina haki ya kufikisha hayo masaaa.

lenovo s860 hapa nlicharge jana asubub nasahv nna asilimia 48 nahyo naipigisha mzigo wa ktosha ila nkisema cjui ntumie hayo ma powermode nadhan naweza toboa week kwahyo usikarir ndugu yang

Kama alieanzisha uzi ataitaka inabidi ajichange vizur
 
wakati naomba ushauri niliwaza mbali mdogo wangu anayo huawei mate 7 inakaa na chaji sio chini ya masaa 11 bila kuchaji hata km unatumia muda wote km huamini muulize mtu mwenye hiyo simu. hata note 2 najua inajitahidi kutunza chaji ila siipendi sababu ya ukubwa wake(umbo lake). maneno ya kusema smartphone hazikai na chaji uongo zipo zinazokaa na chaji

hio uwezo wake wa kukaa na charge ni juu kidogo ya average si rahisi kuvuka masaa 6 ya on screen. mtu akisema on screen anamaanisha unatumia simu bila hata kuieka chini kwa muda huo, na mara nyingi inakuwa matumizi heavy. mfano kucheza game masaa 6 mfululizo.

kuna simu kama xperia z3c, lumia 1520 na galaxy s6 active hizi zinakaa na charge almost mara mbili ya hio mate 7.
 
Haizimiki lakini inategemea na matumizi yake aliyonayo kama hii ya kwangu masaa manne inazima.

aisee yaani huna betri, mimi nikichaji usiku hadi usiku hapo data on 24/7 nacheza game na mambo mengine kibao
 
used xperia kama z2 labda ndio utapata ndani ya hio budget ikiwa na 4g na battery life nzuri. kama unataka mpya moto e pia si mbaya sema zitabaki hela nyingi.
MKuu moto e uliyoizungumzia hapa ni ile isiyo na front camera au iliyo na 4g na vipi kuhusu bajeti zake.
 
Back
Top Bottom