Msaada: Nitazipataje Code Walizo nitumia PayPal

Msaada: Nitazipataje Code Walizo nitumia PayPal

Tony guy

Senior Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
107
Reaction score
44
wadau naombeni msaada: nilifungua acc ya paypal sasa waliniambia watanitumia hiyo code

SWALI: nitazipa kwa njia gani hizo code za kuactive playpali akaunti yangu

*KAMA UJUI MTAG MTU AMBAYE UNADHANI ANAWEZA KUNISAIDIA
CC CHIEF MKWAWA
 
Last edited by a moderator:
nenda bank utazikuta kwenye statement ya account yako na kama umnejiunga na huduma ya sms watakutumia kwenye simu tu
 
nenda bank utazikuta kwenye statement ya account yako na kama umnejiunga na huduma ya sms watakutumia kwenye simu tu

nawezaje kupata statement kwa njia ya sim maana nimejiunga na sim banking
 
Mimi kwenye statement yangu sipati code yenye namba nne(4digits) kama wanayodai Pay Pal ili niweze kuconfirmbcard yangu..statement huwa natumiwa kwa email..sasa je nikienda bank ntapata hizo 4 digits sababu zoezi hilo limenichukua muda mwingi sanaa mpaka nimekata tamaa. Kama kuna yoyote mwenye msaada please. Natumia mastercard ya CRDB
 
tutapata tu msaada ngoja waje
 
Binafsi niliwatumia mail watu wa makao makuu ya bank ya nbc(Dsm) kuwaomba wanitumie hizo code..badae wakaniomba info za account yangu..(account no,card no...) Pamoja na no Yang ya simu then wakaja kunipigia na kunitajia hizo code...so jaribu kuwaemail au kwa urahis zaid zifuate bank.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom