Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,597
Nina simu nmeletewa tokea india,inaitwa micromax canvas but inatumia trademark "Android One" ni dual 3g/4g sim.Nimekuwa nikijaribu kuifanyia APN cofiguration za tigo manually nikafanikiwa kuzi save ila cha ajabu inaonyesha H tu bila vile vimishale vya uplink/ downlink.Kwa hivyo nashindwa kuingia online browsers zinaniambia mambo ya proxy cjui kitu kitu gani uko hatimae nimekwamia hapo.Mwenye msaada anipe clues tafadhali!