Naitaji scatter file ya mt6580

Naitaji scatter file ya mt6580

mchaka98

Member
Joined
May 3, 2013
Posts
13
Reaction score
0
Msaada mwenye scatter file ya mt6580 naitaj nitumie kwene sp flash tool naitaj kumake my cwm for my phone tecno j5 mpya coz inazngua kutengeneza scatter file kupitia mtk droid tool. Ntumie kwa mchaka98@gmail.com
 
unaenda mbali sana cwm unaweza kutengeneza chapu bila complication zozote
 
Msaada mwenye scatter file ya mt6580 naitaj nitumie kwene sp flash tool naitaj kumake my cwm for my phone tecno j5 mpya coz inazngua kutengeneza scatter file kupitia mtk droid tool. Ntumie kwa mchaka98@gmail.com

scatter file ya nini wewe? unachohitaji boot.img au recovery.img kutoka kwenye backup ya simu yako uloifanya na mktdroid tools.

pia unaweza kutengeneza cwm moja kwa moja kutoka kwenye recovery iliyokwenye simu. mtkdroidtool inakuwezesha kufanya hivyo.
 
Bro npe namba ako. Ishu ni kwamba hii cm tecno j5 chpset ake mpya. Kwene mtkdroid tool inashindwa kutengneza scatter file ambayo inatumika na sp flash tool kubackup rom ili nkaitumie kwene mtkdroid kutengneza cwm. Hii mt6580 wwng nmeona nao nkisearch google wanaitafuta wanakutana na tatzo kama langu. Hii cm imeahndikana kuroot kwa apps zote kama kingroot, kingoroot, framaroot, z4root, master root, na zngne kibao nmeagindwa, kwa njia ya manual hyo nayo ndo inazngua hapo.
 
iko hivi huwezi kutengeneza cwm kama simu yako hujaroot root kwanza upate binary su the ndo ubackup boot.img mtk nyingi kuroot jaribu kinguser au kingroot huwa zinakubali
 
Kingroot imegoma inasema cm ni mpya kwa nisubmit request waifanyie ucjunguz
 
Back
Top Bottom