Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 407
Wadau, nashindwa kuzipa majina mapya baadhi ya links ambazo nataka zisome ninavyotaka mimi. nimeona sehemu fulani hapa mtu ame attach link lakini ameandika anavyoona yeye jina la link (heading) lakini contents tofauti.
Kwa mfano Do Job online and earn plenty of earning daily up to 500$ by doing few seconds task online | Incomebite.com nataka isomeke Shake Money.
niambieni cha kufanya hapo wataalamu
Kwa mfano Do Job online and earn plenty of earning daily up to 500$ by doing few seconds task online | Incomebite.com nataka isomeke Shake Money.
niambieni cha kufanya hapo wataalamu