Wickama
Platinum Member
- Mar 8, 2009
- 1,577
- 1,365
Wanaukumbi,
Matumizi ya mtandao yanategemea sana browsers. Binafsi nimezoea kuzikia browsers kama Firefox, Safari, Chrome, Internet explorer nk.
Nimetonywa kuwepo browser ya Warusi kwa jina la Yandex. Mwenye uelewa mpana na browsers basi atupe shule kuhusu tofauti na faida ya kutumia browsers kama Yandex dhidi ya hizi za Marekani na Ulaya magharibi
Tuchangie​