Wakuu niliinstall mobizen with no root na narecord vizuri video zinaonekana lakini nikitaka kuziplay zinanitaka option ya player kama ilivo kwa video nyingine kwenye simu yangu TECNO P5 nina VLC na ile ya simu
NAOMBA MSAADA ANAYEJUA JE ninaitaji player gani au app gani kwa ajili ya kuplay. asante.
NAOMBA MSAADA ANAYEJUA JE ninaitaji player gani au app gani kwa ajili ya kuplay. asante.