Codeblack
Member
- Dec 23, 2012
- 95
- 45
Scenario 1:
Katika computer mbili ya kwanza dell mini yenye intel atom ina run windows 8 na ya pili toshiba satellite version ya zaman kidogo ina intel celeron ina run windows 7 ultimate, zote 32 bit. Nika exchange hard disk na zikawa compatible zikawaka vizuri.
Scenario 2:
Zile zile computer nikaziwekea windows 7 ultimate kila moja kuja ku exchange hard disk zikawa zina boot lakin zinafika sehem zina flash blue screen then zina boot tena...
Kwa mwenye uelewa na hili naomba anieleweshe..na kama kuna uwezekano wa ku run hyo windows ya ndani bila kuweka nyingine..Karibuni.