cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,152
- 1,855
Heshima kwenu wana jukwaa la technolojia! Naomben mawazo yenu ya kitaalam tafadhali! Nina computer yangu ambayo ni desktop hp inakata screen yaan kipande inaonyesha na kipande kingine hakionyeshi sasa cjui tatizo ni kitu gan? Kuna mtu aliniambia kuwa ni resolution sasa kama ni resolution ni set ngapi iyo resolution ili kioo chote kionekane? Msaada apo tafadhal