LG inajizima na kujiwasha yenyewe!

LG inajizima na kujiwasha yenyewe!

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,152
Reaction score
1,855
nina cm yangu aina ya LG G2 ina ji dowload application yenyewe na pia inazima na kujiwasha nimejaribu kui restore lakin tatizo bado lilo pale pale hivyo naomben ushaur jaman nitumie mbinu gan ili kutatua tatizo?
 
LG ni shidah hata yangu inazungua hasa charge ikiwa chini ya 50% ni kujizima na kuwaka mtindo mmoja.
 
nina cm yangu aina ya LG G2 ina ji dowload application yenyewe na pia inazima na kujiwasha nimejaribu kui restore lakin tatizo bado lilo pale pale hivyo naomben ushaur jaman nitumie mbinu gan ili kutatua tatizo?



kwanza restore simu yako..wakati una restore hakikisha una untick back up my data na automatic restore.

kisha ukimalza..hakikisha instalation from unknown source ipo off.


Finally download firewall yoyote yenye rating nzur pale playstote ili uweze ku restrict apps ambazo hutaki zitumie Internet...unaweza ukachagua apps zako ambazo unataka zitumie Internet , apps kama facebook, operamini whatsapp na zingine unazozitumia.
ukifanya hivyo firewall itazuia malware yoyote kutumia Internet kufanya installation ya apps mbal mbali mana utakua umeshachagua apps unazotaka zitumie Internet.

mwisho kabisa usipende kutumia free applications zile tena haswa ambazo zina pro version zake..mfano mx player kuna free na pro.
pro haina adds.
free version nyingi zinakuja na adds ambazo sometimes zinakuforce kudownload unnecessary files.
unaweza tumia market kama blackmart utapata paid apps bure japo sio vizuri kuchakachua..hivyo kama una hela unaweza ukawa una buy tu direct kutoka playstore.

Kwa kuzingatia haya machache basi utaweza kusolve ama kupunguza tatizo lako..

kama una root access ni rahisi pia kusolve huu msala.
 
Back
Top Bottom