ushauri kuonyeshea mpira na projector

ushauri kuonyeshea mpira na projector

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,545
Reaction score
3,370
Habari wakubwa wa tech,
Kwa wazoefu au waliowahi kutumia projector kuonyeshea mipira na shughuli zingine, napenda kufahamu ustahimili wa vifaa hivi katika shughuli tajwa hapo juu, katika uharibikaji, na mengineyo naomba tujuzane.
 
Back
Top Bottom