Scenario 1
Katika computer mbili ya kwanza dell mini yenye intel atom ina run windows 8 na ya pili toshiba satellite A 110-133
.version ya zaman kidogo ina intel celeron ina run wondows 7...
Mara nyingi nimekutana na mada iliyochanganywa/zilizochanganywa hapa JF. Nikikutana na mada iliyochanganywa na mimi nataka nisome ile ile peke yake naipataje?
Natanguliza shukrani kwenu.
Za mda huu ma professinal ni mda sasa najaribu kutembele TPB lakini sipati kitu kwenye mashine yangu naona no responce kila nikijaribu hakuna kitu anayefahamu anijuze.
Microsoft windows pamoja na Linux wana technology ya ad-hoc ambayo inakuja na operating system inayo kuruhusu ku sambaza wifi kwa kutumia wireless card ya laptop au desktop PC.
Tatizo likaja ya...
Wakuu juzi kati kwenye m3 yangu niliinstall avast antivirus ila baada ya kuona inazingua nikaitoa. Sijajua kama ndo ilichangia lakini contacts zangu zoote zikafutika zikabaki za kwenye sim1&2...
Naombeni msaada wakuu, toka niwe na hiki kingamuzi leo nikaamua nichomeke flash ili nijaribu kurekodi lkn flash kama mbili zimekataa kusoma.
Naombeni msaada ni jinsi gani nifanye ili niweze...
Habari wandugu?
Nina bussness idea kuhusu kufungua internet cafe' & PC games center. Moja ya mahitaji ni vifaa hivi, katika utendaji wa kazi na umuhimu wake. Network Switch, Router na Hub ni...
Ni Lenovo, windows 7, 32 bit. Ilikuwa inafanya kazi kama kawaida nikiunganisha simu yangu na laptop kupitia wifi. Natumia simu kama hotspot. Lakini ghafla wiki iliyopita nikakuta inagoma kudetect...
Watu wengi naona tunakosea kutag jina kwenye mtandao wa facebook mimi binafsi nikiwepo nimejitahidi sana lakini haitokei tunaambiwa unaanza na @ alafu jina lakini inatokea hiyo alama na majina...
Jaman mm nilitaka kufahamu je ukiibiwa simu aina ya smartphone je? pattern zinaweza kukusaidia mtu asifanikiwe kutumia zile program ulizo install kama Whatssap,Twitter,Facebook Instagram n.k na je...
mim ilikuwa ivi, nilikutana na i phone 4 ikiwa ndan ya boksi mpyaa inauzwa lak 2 na 50 na bahant nzur nilikuwa nayo nkaikagua pale kwa mbwembwe nkalipa haraka harak nkasepa ....kufika home...