Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba msaada namba yangu ya tigo nimejiunga na whatsapp, lakini kuna mtu kwa sasa naye anaitumia na kwangu imefungwa kabisa, inasema inatumiwa na simu nyingine. Mbaya zaidi anaitumiwa kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simu yangu no techno Y3 ...ina tatizo limeanza lina siku tatu...nikifungua data kuperuz Jf...fb au Google....katika screen kunatokea kama tangazo linalosema simu INA virus au simu inaanza kufungua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman hiv inawezekana nika piga maandish picha alafu nkayafungua kupitia Microsoft word na yakasomeka vzr?
0 Reactions
4 Replies
763 Views
5G wireless data speeds hit 3.6Gbps in first large-scale field test (and there's more good news)...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Habar Wana Jf Kwa Anaefahamu Tatizo Kama Hili Huwa Nin Hitimisho Lake Nina Simu Yangu Haisomi Mitando Inakuwa Emergency Call Muda Wote Hil Tatizo Halikuanza Muda Kwan Zaman Ilikuwa Haisumbui...
0 Reactions
7 Replies
985 Views
Habarini wakuu, Mimi ni mtumiaji wa simu tajwa hapo juu. Tatizo ni kwamba siku za karibuni simu yangu imekuwa slow sana, inastuck mara kwa mara, pia muda fulan ukifungua baadh ya apps inasema app...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tablet yangu inatabia ya kuji format yenyewe mara ya pili inanitokea, inaniuma sana data zangu kufutika na sizipati tena. Kwa anayejuwa kama Kuna program maalumu itakayoweza kunisaidi kurejesha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Anayejua bei na mahali zinakopatikana hzo produblicator x10 dvd burner kwa ajili ya kucopy cd nying aniambie. Sina uhakika na hlo jina linavoitwa
0 Reactions
0 Replies
475 Views
habari..... wakuu laptop yangu..niliifanyia disc clean up...kutokana na low space....sasa ina wiki nikiiwasha inaandika QJDPS is compressed nimejaribu hata kupiga window imekataa tatizo itakuwa...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Wadau ninasimu yangu Nokia N97-mini imezimika kila ninapounganisha chaja inaandika Start up failed, contact retailer. Nilijaribu kuwapelekea mafundi wa Tabora wamekwama kwani wanatumia USB...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hamjambo! Rejea kichwa cha habari hapo juu, napenda kujua kama kunauwezekano wa kutuma UJUMBE WA FARAGHA {private message} kwa kutumia akaunti yangu ya humu jamiiforums kwenda kwa mtu mwingine wa...
1 Reactions
0 Replies
849 Views
Habarini zenu wanajukwaa,Mimi ni FUNDI VISIMBUZI baadhi km dstv,zuku,STARTIMES n.k,nmekumbana na changamoto juzi na Jana katka kufunga STARTIMES ya dish yenye decorder nyeusi hizi awali nmewah...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mwenye utaalamu na hayo mambo aje PM tafadhali maana hii channel nahisi ndo bora zaidi nchini kwetu. Kuikosa najihisi sina amani kabisa.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Acha ulofa na upumbavu,hakuna vitu vya bure nenda kalipie.
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Wana jamvi nina simu mpya ya TECNO C8 kila nikifunika kioo kwa cover yake baada ya Muda inaleta ujumbe wa '' don't cover top screen,, Wana jamvi kwa walewataaalam hii inaweza kuwa inasababishwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habarini za asubuhi wajuvi. Ninaombeni msaada kabla sijafikiria kumuona fundi. Kitarakilishi(computer) tajwa kina matatizo mawili: 1) Nikiiwasha kawaida haiwaki lakini nikitoa CMOS betri...
0 Reactions
3 Replies
767 Views
wakuu naitaji monitor ya computer ukubwa wa kuanzia 22 to 27 inch aina yeyote dell,hp,toshiba etc
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu? Nimetumiwa ramani ya nyumba lakini imetumwa kwa format ya .php ambayo kila nikijaribu kuiprint inagoma. Naomba msaada kuelekezwa namna ya kufanya ili niweze kuiprint. cc...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tarehe Moja October 2015 nilinunua Radio ya Gari ambapo gharama yake pamoja na kutuma ni USD 146.98 Kupitia Ebay na bahati nzuri imetumwa na Leo nimepigiwa simu na DHL kufahamishwa juu ya mzigo...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
guys nataka nikomae na photoshop...so nahitaji tutorial zake..help plz.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…