chris naph
Member
- Mar 31, 2015
- 87
- 11
Nikiwasha PC inaniandikia "Enter user HHD password" na mm nimeisahau tafadhali mwenye uelewa Wa suluhisho la swala hili anisaidie.
Nikiwasha PC inaniandikia "Enter user HHD password" na mm nimeisahau tafadhali mwenye uelewa Wa suluhisho la swala hili anisaidie.
Umesahau au mmempiga m2 hyo harddisk? Embu acha fiksi zako ww.Nikikuelekeza ndo itakua mchezo wko so its better kumrudishia uliyempiga!!!
TS mine if you can help plz do me a favour