Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Nov 12, 2015 #1 Naomba msaada, Whatsap kwenye simu yangu imegoma inasema nahitaji ku renew au kudownload upya lakini kila nikidownload inasema error.
Naomba msaada, Whatsap kwenye simu yangu imegoma inasema nahitaji ku renew au kudownload upya lakini kila nikidownload inasema error.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,559 Reaction score 167,301 Nov 12, 2015 #2 uninstall kisha install upya
VPN USED2020OCTOBER28 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2011 Posts 1,505 Reaction score 677 Nov 12, 2015 #3 Angalia setting ya cm yako.... Ama tarehe.. Mwezi...mwaka na SAA!!!! Halafu ui uninstall whatsaap hiyo ya zamani then install mpya kutok kwenye play store yako..... Ama I restart simu yako
Angalia setting ya cm yako.... Ama tarehe.. Mwezi...mwaka na SAA!!!! Halafu ui uninstall whatsaap hiyo ya zamani then install mpya kutok kwenye play store yako..... Ama I restart simu yako
U Undu JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 3,525 Reaction score 1,904 Nov 12, 2015 #4 Asante kwa somo
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,407 Nov 12, 2015 #5 Ndio nini?
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,627 Nov 12, 2015 #6 Umeambiwa u renew si kuna kulipia baada ya mwaka wa kutumia bure au kama $0.99 cent. Ulicheki Hakikisha umesevu picha na docs kwenye simu au sd kadi kabla haujaanza kubadili chochote.
Umeambiwa u renew si kuna kulipia baada ya mwaka wa kutumia bure au kama $0.99 cent. Ulicheki Hakikisha umesevu picha na docs kwenye simu au sd kadi kabla haujaanza kubadili chochote.
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Nov 12, 2015 Thread starter #7 Asanteni sana