kijana mkimya
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 277
- 121
Wakuu, kwa anayefahamu naomba anifahamishe.
Mimehangaika sana bila mafanikio.
Mimehangaika sana bila mafanikio.
shukran sana mkuu, nimefanikiwa ku installDownload bluestack install kula whatsapp kama una smartphone vile kumbe una laptop na Nokia ya tochi
nipo moro,ninayo hiyo bluestack installer naweza kukupatia kama utashindwa kuidownload
Kuna kutumia whataspp Web, very easy huitaji hata bluestack.
ahaaa haaa thanx mkuu nw imekubali bluestacks kama nanawaDownload bluestack install kula whatsapp kama una smartphone vile kumbe una laptop na Nokia ya tochi