DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Msaada wakuu natumia pc tatizo kila nikiweka bluestack inagoma kuoparate so nahitaji msaada shida kubwa ni whatsapp
nimecheck kaka ni 5500
core i5 ram gb 8 lenovo thinkPad X250Random acces memory ni Gb ngap?
Kama ipo lower than 2gb forget whatsapp kwa Pc
core i5 ram gb 8 lenovo thinkPad X250
Msaada wakuu natumia pc tatizo kila nikiweka bluestack inagoma kuoparate so nahitaji msaada shida kubwa ni whatsapp
ukiifungua ina load zen inajifunga automaticallyyaah weka hizo error yani inagoma vipi?
poa ngojanijaribu hyo mkuukama bs inasumbua , tumia arc ( app runtime for chrome) ya google chrome
Thanx mkuu nitakutafuta ngoja nijaribu kwanzaPc yako haina shida, ipo very capable. Cha kufanya ni hiki
Usitumie bluestacks, kwa pc zisizo na graphic card kubwa huwa tunatumia youwave, ni android emulator kama tu bluestacks sema haina load kubwa kwa pc kama youwave na hardware requirement ni ndogo on comparison. So
Ingia net, download youwave, install playstore, then kupitia playstore download whatsapp, uwe na sim mkononi ile upate ile six digit verfication code wanayotuma kama txt, weka hiyo then uko poa
Ukishindwa nitafute ntakupa instruction zaidi, muda wa kazi plz
0718653453