MAHENDEKA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2010
- 342
- 185
Wakuu habari zenu
Kwa wadau wa compyuter security ama yeyote mwenye ufahamu
Kama kuna mtu ana ujuzi wa namna ambavyo publick key infrastructure(pki) inafanya kazi kwa mifano hai ya mazingira tunayoishi atujuze kwa faida ya wengi hapa,maana elimu ya mambo haya ni adimu kuipata kwa mifano halisi ya shughuli zetu za kila siku au pengine tunafanya bila kujua
Namna gani mtu anaweza kuingilia mawasiliano ambayo yamekua secured na vpn na information inayopita humo ndani imekua encripted ?
Kuna makampuni yanaitwa digicert na verisign nadhani ni wamarekani hawa,
Kitaalamu yanaitwa certificate authority,je yanafanyaje kazi ?..Maana nasoma tu kwamba yanaissue publick key na kuziondoa in case of any violation na kuziweka kwenye certificate revocation list lakini sijui hizo public key mfano wake ni kama nini ?,
Nini maana ya digital signature na nini
maana ya digital certificate ?
Kuna tofauti gani kati ya neno password na private key ?
Mwisho kabisa nini matokeo ya mtu kukompromise dns server ?..maana navojua dns inafanya address resolution,je ina maana mtu akikompromise dns anaweza badilisha mwelekeo wa traffics zako ziende mahali anapotaka yeye ?
Natanguliza shukrani