Betry ya SON ERICSON EPERIA X8 inapatikana wapi?

Betry ya SON ERICSON EPERIA X8 inapatikana wapi?

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
130
Habari wakuu, ninasimu tajwa hapo juu, tatizo betri yake kimeo ila naikubali sana nipo tabora, nimetafuta betri yake tabora nzima madukani sijaipata kama kuna mtu anafahamu maduka yawapi zinapatikana tofauti na tabora naomba kujuzwa, ahsante
 
Sijawahi sikia simu ya aina hiyo!
Ngoja waje wengine pengine wanaijua.
 
Labda mistake imeandikwa son ericson ndogo hivi
 
SONY ERICSSON XPERIA X8
nadhani ulimaanisha hivyo,
Ni smartphone ya kitambo kidogo nahisi betri zake zitakuwa nadra sana
 
Aaaaah boss vp kwan tabora vijijini sana eeeh? Acha mkuu hizo mambo nipen huo msaaada
 
Sasa uko Miogoni, Chem chem, Ng'ambu,Kiloleni,Isevya,Uzunguni, ipuli ,Kariakoo,National au cheyo?
 
Back
Top Bottom