Wakuu iphone 6 plus yangu imepotea katika mazingira ya kutatanisha
Rangi ya Gold na ina crack kwenye screen
Ni ngumu kuitumia sababu ina password kabla hujaingia
Kwa vyovyote itakua imejilock kwa icloud
So please kama kuna mtu atakutana na iphone 6 plus inacrack nyingi kwenye kioo inauzwa na ina icloud lock naomba anisaidie kunijuza hata kwa pm....... Tafadhali
Zawadi nono itatolewa