• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Msaada Apps kugoma ku-uninstall.

Kyenju

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Messages
4,562
Points
1,500
Kyenju

Kyenju

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2012
4,562 1,500
Wasalaam Wakuu,

Katika simu yangu ya android kuna tatizo limenikumba leo, kuna app nimeweka lakini baadaye nikaona imesababisba kutokea mara kwa mara matangazo.

Nilipotaka kuiondoa ikagoma na kuniletea ujumbe huu: Can't uninstall because this package is an active device administrators, nimerudia mara kadhaa bado imegoma, nifanyeje kuiondoa?

Chief-Mkwawa na wadau wengine.
 
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,953
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,953 2,000
Jaribu kwenda setting halafu security halafu device administrators uangalie kama ipo huko. Kama ipo itoe
 
Kyenju

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Messages
4,562
Points
1,500
Kyenju

Kyenju

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2012
4,562 1,500
Asante Chief-Mkwawa, nimefanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
redcarpet

redcarpet

Senior Member
Joined
Jul 25, 2014
Messages
179
Points
250
redcarpet

redcarpet

Senior Member
Joined Jul 25, 2014
179 250
Hongera kwa kufanikiwa kuitoa. Sasa swali langu ni kwanni ikatae wakati uli install kama apps nyingine
 
Kyenju

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Messages
4,562
Points
1,500
Kyenju

Kyenju

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2012
4,562 1,500
Hongera kwa kufanikiwa kuitoa. Sasa swali langu ni kwanni ikatae wakati uli install kama apps nyingine
Nilichogundua ni kuwa hii app ukiinstall kabla hujaitumia inakulazimisha uactivate, ukisha-activate ndiyo inakwenda kujificha kule.
 
trigeminal

trigeminal

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Messages
1,705
Points
2,000
trigeminal

trigeminal

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2015
1,705 2,000
Jaribu kwenda setting halafu security halafu device administrators uangalie kama ipo huko. Kama ipo itoe
wow.!! thanks bro, na mi nimefanikiwa kuna apps zilikua zimeng'ang'ania
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,953
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,953 2,000
Hongera kwa kufanikiwa kuitoa. Sasa swali langu ni kwanni ikatae wakati uli install kama apps nyingine
sababu ina power kubwa zaidi na umeipa ruhusa ya kufanya inachotaka. mambo yote haya huazia pale unapo install hio app, wakati wa kuinstall app inaomba ruhusa nyingi hivyo unapokubali kuiweka zile ruhusa zinakubaliwa na moja wapo ya ruhusa ni kuifanya iwe na power kama wewe (administrator).
 

Forum statistics

Threads 1,403,196
Members 531,106
Posts 34,416,974
Top