Msaada: Blue screen kwenye PC, tatizo nini?

Emelamu Junia

Member
Aug 21, 2013
32
9
Guys nahitaji msaada. Pc yangu Inaweza blue.. Na kuandika maneno haya HARD WARE MULFANCTION......
Naombeni msaada jaman
 

Attachments

  • 1447078750377.jpg
    1447078750377.jpg
    26.9 KB · Views: 298
Elezea vizuri ulikuwa unafanyaje hadi ikatokea hiyo blue screen, umejaribu kuweka windows nyingine?
 
#mimi tena yaani hyo hali inatokea nikiwa nafanya yangu inatokea na hakuna kama dad inayokubali mpaka nizime kwenye switch..
 
Ongeza nyama usaidiwe haiji hivi hivi labda ulikuwa una install kitu ukumaliza au??
 
mi mwenyewe hilo tatizo nnalo... sema nimekomaa nalo hiivyohivyo pc inajirestart...ngoja niweke hiyo anti?malware... sema pc yangu kuna sehemu ilipasuka ndo maana sikufuatilia
 
Mimi tena # yani unawasha vizuri na unatumia poa kabisa. Ila inatokea ghafla. Inaleta blue screen na haitumi mpaka kwenye switch..
 
Mimi tena # yani unawasha vizuri na unatumia poa kabisa. Ila inatokea ghafla. Inaleta blue screen na haitumi mpaka kwenye switch..

Kama unaweza jaribu kuifanyia usafi wa ndani, ifungue utoe hdd, ram, processor, na nyaya zote zilizopo. Safisha kuanzia motherboard na vitu vyote vilivyomo ndani. Ukimaliza ipange upya vizuri kwa kuhakikisha hakuna loose connection.
 
Guys nahitaji msaada. Pc yangu Inaweza blue.. Na kuandika maneno haya HARD WARE MULFANCTION......
Naombeni msaada jaman

Hilo tatizo linaweza kua RAM
Imetingishika au imeshaaribika. Hebu fungua sehemu ram zilipowekwa then km kuna ram pc 2 toa moja washa mashine angalia kama tatizo lipo. Km lipo irudishe toa iyo ya pili.
Km ni moja tu ipo kwa pc tafuta mpya weka.

Nimekupa ushauri huu kwa sababu nmetatua mengi km hayo na pia picha ulotuna inajieleza tatizo ni memory
 
Guys nahitaji msaada. Pc yangu Inaweza blue.. Na kuandika maneno haya HARD WARE MULFANCTION......
Naombeni msaada jaman

Blue screen ni ishara kuna tatizo la hardware, mara nyingine hdd ikiwa inakata umeme/haufiki sawa sawa na hdd yako haiko resilent inakuwa kama haisomeki hutokea hiyo.
 
BSOD au kirefu blue screen of death ni tatizo common sana kwa windows za zamani.

Hakuna kitu maalumu kinachosababisha na hakuna solution maalumu hapo ni kujaribu jaribu tu kuhisi nini tatizo na kujaribu kusolve.

Google hilo neno BSOD utaelewa zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom