Msaada Cortana Lumia 830

Msaada Cortana Lumia 830

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,269
Reaction score
1,107
Habari za mchana huu wadau?

Kama heading inavyojieleza hapo juu. Nina Lumia 535 dual SIM ina windows 8.1 na iko vizuri sana tu. Tangu niinunue na kufanya first configuration Cortana imekuwa ikifanya kazi vizuri tu kama vile kuhandle calls during quiet hours, kusoma text na kiujumla matumizi meengi ya hii simu nayafanya through Cortana bila shida.

Sasa tugeukie upande wa pili.

Nimeletewa Lumia 830 kutoka Netherlands. Iko vizuri sana kwa kila kitu kuizidi 535 ila sasa yanisononesha Cortana haitaki ku-operate inaniambia "Sorry I cannot help you because of the language you've chosen and region".

Nakumbuka kuna mtu humu ndani alikuja na uzi kuwa kuna namna alifanya akaicheat kwa set up za Nchi fulani (language & region setting) but sijaweza kuiona thread yake.

Msaada ndugi zangi ili niweze kufurahia Lumia 830 yangu.
Cc: CHIEF MKWAWA
 
Last edited by a moderator:
Eka region usa na language download english us cortana itafanya kazi
 
Ahsante sana mkuu CHIEF MKWAWA but nimejaribu hivyo na baada ya hapo simu niliirestart but hali ndio ipo hivyo hivyo

Yap ukichange region simu inarestart lakini pia unatakiwa uchange lugha. Na ukichange simu itadownload lugha na kuji update then ndio cortana itakuja
 
Last edited by a moderator:
Yap ukichange region simu inarestart lakini pia unatakiwa uchange lugha. Na ukichange simu itadownload lugha na kuji update then ndio cortana itakuja

Okay thanks CHIEF MKWAWA. Ngoja nifuate procedures then nitarudi na mrejesho
 
Last edited by a moderator:
Ndugu mi sikushauri kuweka region ya usa wala lugha kiingeleza ya usa maana hautaendana na matamshi ya kiamerika na ukiiambia hamtaelewana nayo cortana.ukitaka cortana yako ifanye kazi weka English ya British hadi region yako then itaji restart arafu rudisha feedback.
 
Hiyo Cortana ni kitu gani?

Cortana inapatikana kwenye os za win10, ni kama system inayo control pc au simu yako unaiuliza kitu inakusahidia ku search ichokitu kwa kuongea au kwa kuandika.. na inaongea so usiogope ni mambo ya microsoft tu hayo
 
Ndugu mi sikushauri kuweka region ya usa wala lugha kiingeleza ya usa maana hautaendana na matamshi ya kiamerika na ukiiambia hamtaelewana nayo cortana.ukitaka cortana yako ifanye kazi weka English ya British hadi region yako then itaji restart arafu rudisha feedback.

1. Beta/alpha ya uingereza haipo stable kuliko usa na inachelewa kupata updates,

2. Sidhani kama lafudhi ya uingereza inafanana na yetu wale ndio wana lafudhi ngumu zaidi

3. Usipoeka region us kuna apps hutaziona store

4. Natumia region ya us na broken yangu tunaelewana tu na cortana
 
Back
Top Bottom