Ufahamu: Unajua lolote juu ya car diagnosis machiney

Ufahamu: Unajua lolote juu ya car diagnosis machiney

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
Wakuu nilikuwa na maswali kadhaa ambayo naimani hapa jamvini kuna wajuzi ambao wana majibu na elimu ya kutosha juu ya maswali yangu.

Kutokana na sasa hivi dunia imekuwa ya kitechnolojia zaidi bila shaka kwenye magari nako hali ni ya kudigital zaidi. Asilimia 90% ya magari yanayotoka sasa hivi ni ya kidigital. Bila kuwa na diagnosis machiney utengenezaji unakuwa mgum sana.

swali langu la kwanza ni aina ipi ya machiney ni nzuri zaidi hususan barani afrika na kwa Tanzania kutokana na aina ya magari yanayopatikana huku.

Ni kampuni ipi ina scan tool nzuri zaidi na bora kulingana na mahitaji ya magari yanayopatikana Tanzania. Hapa mfano launch Autoboss Bosch xtool maxdas snap actron na mengineyo.

Swali jingine kwenye hizo machiney huwa kunakuwa na software ambazo wamezigawa kutokana na aina ya kampuni ya gari mfano Toyota Benz Isuzu Nissan n.k version ya Toyota huwezi pimia Nissan.
Swali langu je version inayotumika kwenye launch kudiagnose Toyota haiwezi wekwa kwenye machinery ya Autoboss na kudiagnose Toyota?

Mfano kwenye machinery ya launch version ya kudiagnose Toyota mfano v7.4 unaweza ukaiweka kwenye machinery ya Autoboss na ukaitumia kudiagnose Toyota??

Hizi machinery huwa zinafanyiwa update je kunahasara yoyote ya kuiupdate Mara kwa Mara.

Wakuu ni hayo tu naamini maswali mengine yatajibiwa na majibu ya maswali hayo hapo.
 
Nikinunua gari ndo ntajua yote haya ila nimetoka kapa kama nilivyoingia
 
machine moja inafanya kazi kwenye magari tofauti cha muhimu ni kuangali machine ni ya version ya magari kuanzia mwaka gani.....machine hio hio inapima toyota/benz/bmw/volvo/nissan etc muhimu gari yako iwe ndani ya mwaka ambao uko compartible
 
ndio kusema hapa jamvin hakuna kabisa wadau wanaojishugulisha na hiii shuguli? au ndio mwendo sintofaham ndani ya kichwa yangu uendeleee
 
ndio kusema hapa jamvin hakuna kabisa wadau wanaojishugulisha na hiii shuguli? au ndio mwendo sintofaham ndani ya kichwa yangu uendeleee

Hii ni bonge la thread, lakini kibongobongo kupata wachangiaji sana hapa ni vigumu, kwa sababu umekuja na kitu technical, thread zinazojaza watu ni za siasa na umbeaumbea.

Mimi si mtaalamu wa magari, na uzoefu wangu mdogo nitakaoukuwa nao utakuwa umebase unyamwezini zaidi.

Otherwise ningechangia fully.

Ila napata moyo kuona watu wana post thread za maswali ya teknolojia, sio kila siku siasa na umbea tu.
 
Jamani mwenye ufahamu wa hii kitu atuelezee kidogo mimi mwenyewe nahitaji hii kitu, ningependa kujua bei yake na wapi naweza kupata hii kitu, gari yangu inasumbua na mafundi wetu wengi bado ni analogy
 
Sina uelewa mpana sana wa diagnosis tool,but sidhani kama zinauzwa rahisi kwa individuals, machine x ya kampuni y iliharibika December 2013, ilibidi kusubiri dealer toka nchi k for diagnisis,ikapendekezwa tununue kit yetu unfortunate tuliambiwa hairuhusiwi kwani kwa kufanya hivyo dila atakosa kazi.
 
'sio mbaya kama utatumia hata muda kidogo kwenda angalau ku-check hata na fundi wawili watatu hivi pale TOYOTA AU DT DOBIE wanaweza wakakupa mwanga mkuu juu ya hayo maswali coz nothing come easy no pain no gain ni nauli tu na muda I hope unaweza ukapata knowledge zaidi ya haya maswali uliyouliza hapa mkuu is just an advise tu if that's difficult anyway...

try to check this out:-

scantoolhelp

LEGE
 
Last edited by a moderator:
unapoenda kununua huwa zina manual ambayo inaelezea kuwa hiyo scanning box iko compatible na magari yepi! machine kama Launch MasterX431 inascan almost magari yote, as kwanza huwa in pin wire zaid ya moja!
pili ku-update huwa kunasaidia as sometime manufacturer huwa wanaongeza list ya magari ambayo utaweza kuyascan kwa that tool. kama wewe una garage ni bora ununue hizi universal kuliko kununua za lets say Benz au Audi au GM.
bei ya hizi universal ni around $ 800 - 1500 kwa nzuri kabisa in the market!
pia unaweza tumia Laptop yako as scanning box, only utatakiwa kununua software online pamoja na wire wa kuconnect kwa engine ECU
 
mkuu hizi machiney zinazingua sana mkuu huwezi amini hakuna na bado sijaiona mashiney ambayo inafanya kazi kwenye gari zote mkuu

mara ya mwisho nimetema pesa pale chalinze nilienda kutengeneza gari aina ya range rover 4.6 ilikuwa inasumbua systerm ya buster air suspension nimekukuruka wee horaa kila nikiunganisha mashine inaload wee inakuja inaniambia communication failed.

gari ilikuwa ya IT inakwenda kongo jamaa kaniwekea kwenye dash board laki 3 kash iliniuma sana nilipo fika dar nililala siku 2 no kufanya kazi iliniuma sana.
 
hiyo kitu huwa inasumbua sana kwenye Range naona. sio gari la kwanza la Range naona lina tatizo hilo. wewe Diagnostic tool yako ni aina gani?jaribu kutafuta update zake kama itakuwa ni ya zamani, pia ni vyema ukapata ya Europe kama ya kwako ni from China...as iliyotoka Europe itakuwa loaded na software za magari ya ulaya zaidi.
 
MKUU mm natumia Autoboss v30 spx hii machinery in universal na kwa is hu kama hiyo kwenye range rover huwa napiga KAZI fresh ila sasa ndio hivyo kwenye hiyo range rover 4.6 ilinicharukia bana niliumia sana kidogo nilie aiseee
 
waku mimi ni mtundu kiasi flani tu ila sina uzoefu. ila badae ntakuja kuwapa majina mawili ya hizo tool zipo Ebay, na bei sio mbaya saaaana, ila before ununue its good u search more data kuhusu hizo mambo koz m nisha jaribu fwatilia saaaana ni download hata hiyo software kwa mda almost miezi tisa ila kote unakuta link ina bana au inauzwa. so nikitupia majina atakaye fanikisha kupata it good aje atupe majibu ipo vipi hiyo kitu na inafanya vipi kazi koz ni wengi tuna taka juwa na hata kumiliki ili kupunguza adha za kusumbuana na mafundi.
 
ni kampuni ipi Ina scan tool nzuri zaidi na bora kuringana na mahitaji ya magari yanayopatikana Tanzania.hapa mfano launch.Autoboss Bosch xtool maxdas snap actron namengineyo.
mkuu unavyofanya updates za software ni kwamba unaiwezesha mashine yako kuDiagnose magari mapya yanayotoka, pia kuondoa errors zozote zilizojitokeza kwenye software version ya zamani na kuongeza uwezo zaidi wa upimaji wa magari. inawezekana Autoboss v30 yako ilikuwa inahitaji updates ndio maana ikaFail kupima EAS fault kwenye hiyo Range Rover. Kwahiyo ni muhimu kufanya software updates japokuwa kwenye mashine nyingi updates sio bure. mimi nimeshawahi kutumia Autoboss V30 nayo ilikuwa vizuri kwenye upimaji, kwa sasa natumia Launch X431 Master. hebu tuanze kwanza na comparison model za Launch X431..

dcu15v.jpg

epk6s1.jpg
 
mkuu juu ya upadate mashiney yangu ilikuwa na free ya ku update kwa mwaka 1 na mwisho kufanya update hata 1 HAIJAISHA kwani wakati nakwenda kufanya hiyo kazi usiku wake kabla sijaenda chalinze niliifanyia update mashiney.

hata hivyo wakati nafika pale kuna fundi toka dodoma alikuja pale na mashiney yake nae akachemka .
kuna jamaa nilimpigia ana deal sana na range rover akadai hapon inabidi nitumie machiney ya T4 ndio itakubali au mtu anaye tumia laptop kuna softwere 1 ya EAS ndio itakubali hapo.

mfano mzuri mkuu ni gari aina ya ISUZU big horn yenye engine ya 4JG2 ya mwaka 1995 hakuna machiney itakayo kubali kusoma zaidi ya TECH 2 hiyo mashiney ndio inasoma hapo hakuna cha launch sijui autoboss xtool bosch sijawahi jaribu inaweza kukubali coz kampuni yake ndio inatengeneza machiney ya GM TECH 2.

tatizo la isuzu kuto somwa na mashiney nyingi ni kuwa softwere virsion nyingi za kwenye mashiney zinaanzia kupima magari ya 1998.

vipi mkuu kampuni ya launch unaionaje?? coz nataka kununua mashiney nyingine so bado sijafanya uamuzi aina gani ya mashiney ninunue.

vipi na mchakato wa kutumia laptop unauonaje mkuu.

mkuu unapatikana wapi siku 1 moja niwenakutembelea mkuu siunajua tena elim haina mwisho?
mm nipo dar es salaam.
 
unapoenda kununua huwa zina manual ambayo inaelezea kuwa hiyo scanning box iko compatible na magari yepi! machine kama Launch MasterX431 inascan almost magari yote, as kwanza huwa in pin wire zaid ya moja!
pili ku-update huwa kunasaidia as sometime manufacturer huwa wanaongeza list ya magari ambayo utaweza kuyascan kwa that tool. kama wewe una garage ni bora ununue hizi universal kuliko kununua za lets say Benz au Audi au GM.
bei ya hizi universal ni around $ 800 - 1500 kwa nzuri kabisa in the market!
pia unaweza tumia Laptop yako as scanning box, only utatakiwa kununua software online pamoja na wire wa kuconnect kwa engine ECU

kamanda moshi naomba tuwasiliane mapema iwezekanavyo.nicheck 0768081476
 
Elimu mujarabu hii. Sikuwa "najua lolote juu ya car diagnosis machinery" ila sasa nimeanza kupata ufahamu kiasi..
 
Nauza diagnostic machine aina ya lenovo. Screen size 10.1 bei 1200 usd . Piga simu +255742875080
 
Back
Top Bottom