Tecno inajifungua apps

Tecno inajifungua apps

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,520
Reaction score
8,286
Msaada tecno inajifungua apps yenyewe nikiwasha data, mara inaleta ujumbe measure unfortunely stopped, mara inaleta app za ngono, mara facebook. Tatizo nini?
 
apps za Ngono si uliinstall mwenyewe? sasa inakusaidia kuzifungua
 
Mkiambiwa tecno sio simu humu jf...mnabisha..sasa utaisomaaa
 
ahahah halafu wachina mwezi wa tisa wachina walitengeneza virus kwenye tecno na Huawei so zimekufa sana mpaka sasa bado inatesa sana hiyo kitu
 
Ninatumia tecno mwaka wa 3 sijaona tatizo yanayotajwa niliwahi kutumia htc Nokia lumia 520 Samsung nk. Ukweli ni kuwa tecno hazina vitu vingi kama simu tajwa hapo juu na sio kuzitungia vitu vya uongo simu ni matumizi yako lazima tukubali tecno ni bei rahisi tofauti na simu zingine uwezo wa mtu kupata Samsung ya k120
 
Hiyo imeshakufa nunua nyingne,tecno wanaziua simu zao wenyewe kwa kutumia data connection
 
Back
Top Bottom