Msaada: Natafuta english to swahili language converter software

Msaada: Natafuta english to swahili language converter software

Mashy

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
180
Reaction score
206
Wakuu, nahitaji msaada kwa yeyote anayejua software inayoweza kunisaidia kubadili lugha ya kingereza kwenda kiswahili pindi mtu anaoandika au kusoma maandishi kwa kiingereza.

Nitashukru ikiwa kuna yoyote atanisaidia kwa hili
 
Tumia google translator

Wanazo apps kama unatumia simu na pia unaweza kwenda website hii kama hutaki apps

Translate.google.com
 
Download google translator app kutoka play store for free.
 
Back
Top Bottom