Sony Bravia LCD screen is fault

Sony Bravia LCD screen is fault

Akthoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2007
Posts
1,068
Reaction score
1,149
Waungwana naomba msaada wa Fundi wa TV.
Inaonesha picha kwa muda wa masaa 2 hivi halafu inakata na kuleta mistari tu.
 
Mkuu hizo screen ni shiiiida, halafu ujinga wao bei ya screen sawa na ya TV mpya ila za kichina zipo kkoo wanauza kama laki tatu au tatu na nusu, ila quality ya picha kwenye hizo screen ni hafifu sana. pole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom