Companies investing in tech Startups Tanzania

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,461
2,267
I am just curious leo, najua bongo ni sehemu ambayo kusikia neno tech startups ni mara moja moja sana tena kila baada ya miaka kadhaa which is shameful sababu bado kuna matatizo mengi Tanzania ambayo technology inaweza solve, so sijui kama watanzania waliosoma hasa engineering wamelala au inakuaje, wote wanategemea kwenda kuajiriwa vodacom au airtel?

Back to the main topic, nipo curious kujua kama ushawahi sikia any tech startup imepewa investment Tanzania, na what companies zipo tayari kufanya investment kwenye tech startups zozote ambazo zinaonyesha muelekeo mzuri?

Kitu kingine pia, kama unafahamu tech startup yote ile iliyopo Tanzania write it down.
 
kuna hizi incubators kama DTBi, though hawatoi funding but wanaweza kukufungulia mlango kwa investors tofauti, kuna kampuni kama MaxCom Africa ndio zilitokea humu nadhani
 
Ukipata nafasi nenda pale Costech kuna program inaitwa Buni kuna vijana wameshasaidiwa lakini huu hii project ilipaswa kuwa Tanzania nzima na sio hapa mjini tu
 
Back
Top Bottom