Nunua MP3 ya kuchomeka pale kwa kuwashia sigara hata kwa machinga barabarani wanazo, utapata sehemu ya kuwekea flash, memory card upige muziki pamoja na sehemu ya kuchajia.
Mkuu dash board haina hata sehemu ya kuwashia sigara? Duuuhhata hiyo kitu pia hainaga mkuu ...........
Mkuu dash board haina hata sehemu ya kuwashia sigara? Duuuh
Inawezekana imetengenezwa na mjapan mlokole hiyo, mimi nina bahati ya kupata magari yaliyotengenezwa na wazungu/wajapan walevi na wavutaji tu. Ndani ni full sehemu za kuwashia sigara, sehemu ya kuwekea chupa kinywaji, miziki kwa sana nk....Yeah baadhi hazina kabisa hata hiyo ya kuwashia sigara mkuu