Mkuu,Software bora zaidi ni zile za kurekodi miziki Mf.Cubase,Sonar,Mixcraft,Adobe Audition.Unganisha Kinanda chako kwenda kwenye PC.Hautasahau ni kitu cha kiwango.
easy sana, nenda kwenye sdcard au phone memory Kule iliko. gusa na ushikilie mpaka itokee opt ya kuedit.
pale mwisho baada ya nukta futa neno mid kisha andika mp3 kisha save. hats video unaweza kuibadili kuwa mp3 kwa muundo huo. ila kwenye simu za kawaida haitaplay..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.