Help please...Genuine Power Banks

Help please...Genuine Power Banks

House of Commons

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
2,189
Reaction score
2,214
Naomba msaada, nataka kununua power bank kesho, ila naskia feki ni nyingi kuliko genuine. Mi siwezi kutambua genuine na feki, je nitafahamuje jamani kuwa hii ndio genuine at least kwa kutumia citeria au specification??

Shukrani
 
Sio rahisi kuijua kwa kuiangalia tu. Majority ya hizi za 20-30 thou ni feki, inabidi uende duka unaloliamini au mtu akuelekeze kwa experience, naweza kukwambia pale posta mpya pembeni ya Postal Bank kuna duka wanauza za Anker zicheki Amazon.com original na mtaa wa India mjini karibu na duka la Magereza wanauza original za A-Data nazo nzuri.
 
Thank you brother

Similar Discussions

Back
Top Bottom