Msaada wa ujumbe huu kwenye computer yangu

Msaada wa ujumbe huu kwenye computer yangu

Morinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Posts
2,797
Reaction score
1,593
Jamaan kuna ujumbe unakuja kwenye computer yangu. Ikitokea nikaupgrade kulingana huu ujumbe si inaweza kuja kuharibu computer yangu?

Microsoft recommends upgrading to windows 10
It's fast, familiar, and free- and this pc is compatible
upgrade now
 
Haiwezi kuharibu pc yako,ishu ni kwamba je iyo window 10 ina GUI itakayokupendeza ? icho ndo chakujiuliza
When i say GUI i mean Graphical User Interface
 
Haiwezi kuharibu pc yako,ishu ni kwamba je iyo window 10 ina GUI itakayokupendeza ? icho ndo chakujiuliza
When i say GUI i mean Graphical User Interface

Sijawai kuitumia window 10, kwa hiyo siijui.
 
Back
Top Bottom